GOOGLE KUTUMA PARACHUTI MAALUM ZA INTERNET PUERTO RICO. - teknomovies
GOOGLE KUTUMA PARACHUTI MAALUM ZA INTERNET PUERTO RICO.

GOOGLE KUTUMA PARACHUTI MAALUM ZA INTERNET PUERTO RICO.

Share This
Kampuni ya Google imeanza mradi maalum wa kusambaza Parachuti maeneo yaliyoathirika na kimbunga Maria nchini Puerto Rico.

SOMA PIA:PAKUA HAPA ANNABELE CREATION

Tayari parachuti mbili zimekwishatumwa katika anga la Puerto Rico lengo ni kuwafanya wananchi wa eneo hilo wanendelee kupata huduma ya Internet kutokana na miundombinu kuharibiwa vibaya na kimbunga.

Google inakusudia kutuma parachuti 30 ili kuwafanya wananchi waweze kuperuzi, kupokea email na kufanya masuala yote ya mtandao katika kipindi hiki ambacho serikali inaendelea na ukarabati wa miundombinu.

Google walishafanya mradi huo mwaka 2007 nchini Indonesia baada ya kutokea tetemeko la Ardhi  aina ya Sumatra ingawa parachuti hizo hazikuwa na ubora kama za sasa.

Usisahau Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali pia Subscribe Youtube Channel ya DM Online Tv.

Pages