PETER WA P SQUARE AMEANZA KAZI KAMA SOLO ARTIST NA SINGLE HII - teknomovies
PETER WA P SQUARE AMEANZA KAZI KAMA SOLO ARTIST NA SINGLE HII

PETER WA P SQUARE AMEANZA KAZI KAMA SOLO ARTIST NA SINGLE HII

Share This
Baada ya mgogoro uliochukua muda mrefu juu ya hatma ya kundi linaloundwa na ndugu kutoka Familia moja Peter, Paul na Jude. Hatimae Peter ameanza project zake kama 'Solo Artist'.

Wimbo unaitwa 'Cool it Down' ambao umetayarishwa na Producer Kaelz Beatz, na tayari Peter amepokea pongezi kutoka kwa mashabiki kuwa wimbo ni mzuri.

Baadhi ya mashairi katika wimbo huo umetoka katika wimbo ulioimbwa na Mya mwaka 1998 ambao ulitumika kwenye movie ya wa watoto (Soundtrack).

SOMA PIA:PAKUA HAPA FILAMU YA SNIPER ULTIMATE KILL

Tazama hapa Chini and Enjoy na Pia Bofya Hapa Kupakua Audio Yake.

             


Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali pia Subscribe Youtube Channel ya DM Online Tv.

Pages