Baada ya kuachia singo yake ya Sauda mkali ambae alikuwa memba pia wa kundi la Ya Moto Bendi,Enock Bella Ameweka wazi kuwa ili kuifanya sauti yake kuwa nzito huwa anatumia pia baadhi vyakula kama Pili Pili na vinginevyo.
Akifunguka katika kipindi cha Leo Tena,Enock anasema anaweza kuimba sauti laini lakini inampa wakati mgumu sana hasa kutokana na vyakula anavyotumia ambavyo vinafanya sauti yake iwe nzito.
"Mimi natumia vitu kama Pili Pili yani vyakula ambavyo vinaharibu sauti kwangu ndo vinaenda fresh kabisa,na sifikiri kama nitakuja kubadirika kuimba kama sauti ya akina Beka sababu ninaweza lakini inanitesa sana," alisema
SOMA PIA:MAKOSA HUWEZI KUAMINI YALIFANYWA KATIKA FILAMU HIZI
Pia aliongeza kuwa mahusiano yake na memba wa kundi lao wapo fresh,na wanapeana sapoti huku akieleza kuwa kundi hilo bado lipo na ni wakati tu ukiwadia watu watawasikia tena kwa mara nyingine.
"Kundi bado lipo,ni wakati tu utawadia watu wataona ila kwa sasa tumeamua kila mmoja apambane na hali yake kwanza ili tutaona tu,"aliongeza

Tags
# HABARI
Share This
About Swahili Muzik
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Newer Article
24 Hours To Live Mzigo Hatari Usiochosha#DOWNLOAD
Older Article
Makosa Ambayo Huwezi Kuyaamini Ambayo Yamefanywa katika Filamu Kadhaa#Uchambuzi
Tarehe Rasmi Ya Kurudi Kwa Into The Badlands Yawekwa Wazi Sasa #Fahamu
Swahili MuzikJan 31, 2018Exclusive : College Cypher yapokea ugeni wa Mrembo bora vyuo vikuu
AnonymousJan 30, 2018Oscar 2018 : Filamu ya Shape of Water inagombea tuzo kwenye vipengele 13
AnonymousJan 27, 2018
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!
Ungana Nasi