Wengi wanaisubiri kwa hamu Series hii. Kutoka katika Vyanzo vya kuaminika sasa Into The Badlands imekwisha fahamika ni tarehe ngapi mzigo utatimba On Air.
April 22 ambayo itakuwa ni Jumapili muda saa 4 Usiku kwa pande za kwao ndipo mzigo utanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza.
Kumbuka safari hii mzigo wa tatu utakuwa na Episodes 15 hivyo safari hii itakuwa ni Burudani mwanzo mwisho.
PITA HAPA PIA>> PAKUA HAPA INTO THE BADLANDS 1&2
Kitu kikubwa cha kukumbuka kama ulitazama mpaka Ep ya mwisho Sunny kwa sasa ana mtoto hivyo kazi kubwa atayokuwa nayo ni kuhakikisha ana mlinda mtoto wake kwa gharama yoyote ile huku kichapo cha nguvu kikiendelea kutembea.
Mzigo pindi utapoachiwa, Inshallah wote unaweza kuupata hapa hapa.

Tags
# HABARI
# Tv Shows
Share This
About Swahili Muzik
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Tarehe Rasmi Ya Kurudi Kwa Into The Badlands Yawekwa Wazi Sasa #Fahamu
Swahili MuzikJan 31, 2018Michael Wolff kuja na Tv series ya "FIRE AND FURY"
AnonymousJan 17, 2018TAARIFA RASMI,PRISON BREAK MSIMU WA SITA KURUDI TENA
Swahili MuzikJan 06, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!
Ungana Nasi