ASKARI FEKI AKAMATWA, NI BAADA YA KUTUMIKIA JESHI KWA MIAKA 8. - teknomovies
ASKARI FEKI AKAMATWA, NI BAADA YA KUTUMIKIA JESHI KWA MIAKA 8.

ASKARI FEKI AKAMATWA, NI BAADA YA KUTUMIKIA JESHI KWA MIAKA 8.

Share This
Kijana mwenye umri wa miaka 34 Olayiwola Animashaun ametumikia jeshi la polisi kwa muda miaka 8 hali ya kuwa ni askari feki. Kuanzia mwaka 2009 kijana huyo amefanya kazi hiyo katika daraja la Sururele Lagos Nigeria mpaka alipokamatwa mapema wiki hii.

Askari feki baada ya kuwekwa chini ya ulinzi


Amekamatwa baada ya majirani kutoa taarifa polisi kuwa anafanya kazi hali ya kuwa si askari halali.

No comments:

Post a Comment

Pages