Hii filamu ni kali sana hasa kama unapenda Filamu za Mapigano pamoja na hilo ni stori flani ya kiutofauti sana,
Jamaa alipewa kazi ya kwenda kuua na Boss wake wa zamani ambae alikuwa akimtumia kwa kazi hizo. Lakini kabla hajafanya hivyo alitakiwa kukusanya baadhi ya Taarifa ili kumpata muhusika mkuu.
Lakini wakati akiwa tayari amekamilisha Hilo,ile anataka kurudisha taarifa alipigwa risasi na kufariki.
SOMA PIA:JEEPER CREEPER 3 PAKUA HAPA
Kikundi alichokuwa anafanyia kazi kilikuwa kipo fresh sana katika masuala ya kiteknolojia hivyo walimfanyia Operation maalumu na kumuwekea kitu kama betri ambayo ilimpa uhai wa muda tu.
Lengo kuu ilikuwa atoe taarifa kwani alikuwa bado hajakamilisha Taarifa na alipofanya hivyo wakataka kumuua,Ambapo aliweza kufanikiwa kuchomoka lakini Lile betri lilikuwa la masaa 24 tu baada ya hapo angefariki..
Sasa anatakiwa afanye kazi kwa masaa 24 je ataweza?Jichukulie mzigo mzima hapo chini Sasa na fanya pia kumpa taarifa mshikaji juu ya zigo hili.

Tags
# Filamu
Share This
About Swahili Muzik
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Newer Article
Meek Mill kukumbana na adhabu ya miaka 2-4 gerezani
Older Article
Natumia Vyakula Hivi Ili Sauti Yangu Iwe Nzito-Enock Bella
Filamu Ya Saw Ilishutiwa Kwa Siku 18 Tu, Tena Bila Kufanya Hata Mazoezi Kidogo,Mafanikio Yake Sasa
Swahili MuzikJan 28, 2018Oscar 2018 : Filamu ya Shape of Water inagombea tuzo kwenye vipengele 13
AnonymousJan 27, 2018BREAKING NEWS : Hii hapa list ya wanaowania tuzo za Oscar 2018
AnonymousJan 23, 2018
Labels:
Filamu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!
Ungana Nasi