WhatsApp wanaendelea kuiboresha App yao ambapo safari hii unaambiwa wanampango kabisa wa kuwaongezea nguvu Viongozi wa makundi (Group Admins)
Uwezo huo mpya ambao unatazamiwa kuja hivi karibuni, Utampa nguvu admin ya kuamua kuruhusu ujumbe fulani katika Group au kuondoa ujumbe pindi atapoona haufai katika Group.
Kipengele hicho kimeombwa kwa muda mrefu na watumiaji wengi wa mtandao huo na tayari katika baadhi ya nchi watumiaji wa WhatsApp Beta washaanza kufurahia huduma Hiyo.
SOMA PIA: FAHAMU NAMNA YA KUFUTA KABISA AKAUNTI YA WHATSAPP
Kuongezeka kwa nguvu hiyo kwa viongozi wa makundi kutasaidia kwa hali ya juu kupunguza taarifa za uongo na za uchochezi ambazo mara kwa mara zimekuwa zikisambazwa katika magroup mbalimbali ya WhatsAPP.
Tupe maoni Yako kuhusu Hili unafikiri Kutoa Uwezo huo hakutaweza Kudidimiza uhuru wa watumiaji wake?
Source: teknokona pamoja na picha.

Tags
# Teknolojia
Share This
About Swahili Muzik
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Newer Article
Filamu Tano Bora Kwa Mwaka 2017, Uchambuzi
Older Article
Unaweza Usiamini,Lakini Picha Hizi Zimechorwa Kwa Mkono.
Ifahamu App Gb Instagram Na Uwezo Wake Zaidi Ya Instagram Ya Kawaida
Swahili MuzikJan 23, 2018Tecno Na Simu Mpya Camon Cm, Sifa Zake Zote Zifahamu Sasa
Swahili MuzikJan 22, 2018WhatsApp Waboresha Zaidi Upande Wa Voice na Video Call
Swahili MuzikJan 11, 2018
Labels:
Teknolojia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!
Ungana Nasi