Annabelle Creation Tupo Nayo Hapa Sasa - teknomovies
Annabelle Creation Tupo Nayo Hapa Sasa

Annabelle Creation Tupo Nayo Hapa Sasa

Share This
Mwaka huu naweza nikasema ulikuwa ni mwaka wa Horror Movies hasa kutokana na michongo mingi mingi kufanya poa sana kwa hapa naweza nikaipa credit sana Get Out.

Mchongo rasmi uliachiwa tarehe 11 mwezi August mwaka huu,na bado umeendelea kukimbiza kwa kiasi kikubwa huku wadau mbalimbali wakiipa point za kutosha.

Inakua Filamu ya pili kutoka baada ya kwanza kuachiwa mwaka 2014 na pia inakuwa filamu ya nne kuachiwa katika michongo ya The Conjuring.

SOMA PIA:MAKUNDI MAHASIMU YA HIP HOP MAREKANI

Filamu hii mpaka sasa imeweza kuuza kiasi cha dola milioni $301 kutoka bajeti ndogo kabisa ya dola milioni $15 tu hivyo imeweza kuingiza faida kubwa sana ya kutosha.

Sasa unaweza kufurahia mcjongo huu ambao Tumeunyaka,Quality yake ni HD hivyo ni kwako tu kuandaa Mb za kutosha na kuenjoy.

Pages