It Download Now Here. - teknomovies
It Download Now Here.

It Download Now Here.

Share This
Imekuwa ikiombwa sana na watu mbalimbali,nasi leo bila tatizo na mtu tumeamua kuishusha hapa...kama haupendi Horror basi tunakuomba usitazame hii,Ila kama wewe unapenda Horror basi hii ndo sehemu yako sahihi.

Imetoka Septemba 8 mwaka huu ambapo mpaka sasa imeweza kuweka rekodi kadhaa kwa kuingiza mkwanja mrefu kwa kiasi cha dola milioni $617 kutoka bajeti ya dola milioni $35 tu.

Nisikuchoshe na mimi Usinichoshe bonyeza hapo chini kwenye Download ili kuweza kupata mchongo Huu sasa.



Pages