War For The Planet Of Apes Download Now - teknomovies
War For The Planet Of Apes Download Now

War For The Planet Of Apes Download Now

Share This

Hii inakuwa ni filamu ya tatu,tangu ya kwanza ambayo ilitoka mwaka 2011 na nyingine ikitoka mwaka 2014 ambazo ziliweza kufanya poa na kuweza kufanya kuja kwa sehemu ya tatu.

Filamu hii ilianza kuandaliwa tangu mwaka 2015,Lakini imekuja kuachiwa mwaka 2017 katika mwezi julai ambapo imeweza kuuza mauzo ya dola milioni$483 kutoka bajeti ya dola milioni $150.

Sasa unaweza kuishusha hapa Quality ni Hd hivyo ni wewe tu andaa Mb zako za kutosha kwaajili ya kupakua mchongo mzima sasa.

Pages