FAST 9, MATT DAMON NDANI. - teknomovies
FAST 9, MATT DAMON NDANI.

FAST 9, MATT DAMON NDANI.

Share This
Mwanzoni ilikua ikisemekana kwamba Fast 8 Ndo ingekua movie ya mwanzo mwanzo katika kuelekea kufunga Mlolongo wa Movies ya THE FAST AND FURIOUS... na ni kweli hiyo ni baada ya Producer Neil Ortiz kuongea kua wanafikilia kufanya Movies mbili or zaidi kabla ya kufunga kabisa.

Movie ya THE FATE OF THE FURIOUS imeendelea kufanya vyema sokoni ikiuza zaidi ya Dollar Million $600 kwa dunia nzima, lakini majuzi juzi Tyrese Gibson alipost picha Ya FAST 9 ambayo inasemekana itakuja April 19 mwaka 2019...katika picha hiyo ambayo aliifuta badae inaonekana washiriki baadhi wameongezeka, huku Tukitegemea uwepo wa mtu mzima MATT DAMON mtaalamu toka katika Movies za Jason Bourne.

Nazani alifuta sababu ni mapema sana kufanya hivyo, ila tuendelee kusubiri mpaka hapo taarifa rasmi itapotoka, ila tegemea ujio zaidi wa hii movie hii ambayo inazidi kupata umaarufu kila inapokwenda.

No comments:

Post a Comment

Pages