Roy Price ndie msimamizi mkuu wa shughuli zote za kampuni hiyo huku tuhuma hizo zikitajwa kuwa alizitenda wakati Producer Isa Hackett akiandaa series ya The Man in the high Castle huko San Diego California.
Kabla ya kampuni kumsimamisha Price mmoja wa viongozi alisisitiza kuwa wako makini juu ya kulinda hadhi yao pamoja ya na ya wafanyakazi na kuomba kama kuna taarifa nyingine zitakazosaidia suala hilo katika uchunguzi basi zitolewe mara moja.
"We take seriously any question about the conduct of our employees, we expect people to set high standards for themselves, we encourage people to raise any concern and we make it a priority to investigate and to address them. Accordingly we looked closely at this specific concern and address it directly with those involved"
Ni siku chache zimepita tangu Boss mmoja wa Hollywood Harvey Weinstein alipoingia kwenye tuhuma za udhalilishaji wa kijinsia huku Angelina Jolie, Gwyneth Paltrow na Kate Beckinsale wakitoa ushuhuda wa matendo hayo kutoka kwa Weinstein.
Usisahau Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Update mbalimbali na pia Subscribe Youtube Chennel ya DM Online Tv.