The Purge Kurudi Tena. - teknomovies
The Purge Kurudi Tena.

The Purge Kurudi Tena.

Share This
The Purge Kurudi Tena.

Ile Movie Yako Kali Ya Msisimko Ya The Purge Inategemewa Kurudi Tena Kwa Mara Ya Nne.

Movie Hiyo Bado Story Line Haijafahamika Vizuri Na Ataehusika Katika Ku Draft Story Nzima Ni James Demonaco Ambaye Movies Zilizopita Alihusika Katika Ku Direct Lakini Kwa Safari Hii, Director Atapewa Mwingine.

Movie Inatarajiwa Kutoka July 4 Mwaka 2018 Huku Jina Ikipewa Untittle Next Purge Chapter.

Movie Ya Mwisho Katika Mfululizo Huu Ilitoka Mwaka 2016 Ikipewa Jina La The Purge : Election Year Ambapo Ilifanya Vizuri Sokoni Kwa Kuuza  Dollar Million $118.6 Kutoka Budget Ya $10M.

No comments:

Post a Comment

Pages