AMNYWESHA MTOTO MAFUTA YA TAA AKIDHANI MAJI - teknomovies
AMNYWESHA MTOTO MAFUTA YA TAA AKIDHANI MAJI

AMNYWESHA MTOTO MAFUTA YA TAA AKIDHANI MAJI

Share This
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi sita Israel Buhari , ameaga dunia baada ya kunywa mafuta ya taa aliyopewa na mama yake akidhani ni maji huko Benin.

Kwa mujibu wa ripoti ni kwamba mama huyo alimpa mafuta ya taa baada ya mtoto wake kumwambia ana kiu kwani mafuta hayo yaliwekwa karibu na maji. Juhudi za kumpeleka hospitali hazikuzaa matunda kwani mtoto alifariki njiani wakielekea hospitali.


No comments:

Post a Comment

Pages