ALIFARIKI SABABU YA MASTURBATION (KUJICHUA). - teknomovies
ALIFARIKI SABABU YA MASTURBATION (KUJICHUA).

ALIFARIKI SABABU YA MASTURBATION (KUJICHUA).

Share This
Kijana Mmoja Wa Miaka 16 Wa Kibrazili Kutoka Katika Mji Wa Rubiato Mkoa Wa Goias Huko Brazil Mwaka 2011 Aliacha Watu Wakistaajabu Sio Tu Kwa Kifo Chake Bali Kwa Kitendo Alichokifanya Kwa Kujichua (Kujipiga Punyeto) Kwa Zaidi Ya Mara 42 Mfululizo.


Mama Yake Aliliambia Gazeti Moja Kua, Alikua Anajua Tatizo La Mtoto Wake Ambapo Alikua Anapanga Kwenda Kumuona Daktari Kupata Msaada Lakini NdIo Hivyo Maamuzi Hayo Yalikua Yamechelewa Sana.

SOMA PIA:MAMBO USIYOJUA KUTOKA NDEGE TAI

Kijana Huyo inasemekana alikua akipenda kujichua kuanzia mida ya usiku na Kukesha siku nzima akifanya huo mchezo Ambao Ndio Ulipelekea Kifo Chake.

Wanafunzi Wenzake Wanasema Walikua Wanajua Kua Mwenzao Ana matatizo hayo ya kujichua Na Zaidi Alikua Akipenda Sana Wasichana Ambapo Alikua Hajali Ni Wa aina Gani Kwake Yeye Yeyote Ilikua Sawa Tu.

Katika Chumba Chake, Zilikutwa Lundo Ya Picha Za Ngono, Na Videos Pia Nyingi Sana Za Ngono.

No comments:

Post a Comment

Pages