Into The Badlands Season 2 Trailer Itazame Hapa Sasa - teknomovies
Into The Badlands Season 2 Trailer Itazame Hapa Sasa

Into The Badlands Season 2 Trailer Itazame Hapa Sasa

Share This
Into The Badlands Inarudi Tena Mwezi March Mwaka Huu Tarehe 19 Itakua Jumapili Siku Hiyo.

Mchongo Huu Unarudi Huku Kukiwa Na Maswali Mengi Sana Kutokana Na Jinsi Mziki Wa Season 1 Ulivyoisha.. Ambapo Tuliona MK kakamatwa Na Pia Sunny Nae Pia Kakamatwa.


Season 2 Hiyo Inakuja Trailer Tayari Limetoka Nasi Kama Kawaida Tumekusogezea Hapa Upate Kutazama.

No comments:

Post a Comment

Pages