FILAMU HII ITAACHIWA BAADA YA MIAKA 100,IFAHAMU SASA - teknomovies
FILAMU HII ITAACHIWA BAADA YA MIAKA 100,IFAHAMU SASA

FILAMU HII ITAACHIWA BAADA YA MIAKA 100,IFAHAMU SASA

Share This

100 YEARS Ndo Jina La Movie Hiyo Ambayo Jinsi Ilivyoandaliwa Na Ilivyopangwa Siku Ya Kuachiwa Ishu Imekua Ni kiutofauti Sana.

Wazungu Wana Story Za Kushangaza Lakini Hii Imekua Ya Kushangaza Zaidi, Ambapo Filamu Imepangwa Kuja Kuachiwa Tarehe 18 November mwaka 2115 Kwa Tafsiri Fupi Ni Miaka Mia Moja Ijayo Huko Ambapo Mpaka Sasa Bado Miaka 98 Siku Hiyo Ifike, Na Kwa Anaesoma Post Hii Sidhani Kama Atakuepo Hata Waandaaji Tu Wenyewe Sudhani Kama Watakuepo.

SOMA PIA:UKWELI KUHUSIANA NA FILAMU YA CANNIBAL HOLOCAUST

Movie Hiyo Jinsi Itavyokua Mpaka Sasa Haifahamiki Na Movie Hiyo Imewekwa Katika Case Maalumu Ya Glass Ambayo Ni Bullet Proof Ambapo Imelokiwa Hapo Na Itajifungua Yenyewe Siku Hiyo Ikifika.


Director Wa Movie Hiyo Ni Robert Rodriguez Na Mwandishi Ni John Malkovich Ambae Pia Ndani Kacheza Katika Mchongo Huu.

Tuzidi Kuomba Omba Labda Tutafikia??! Hatuwezi Jua.

No comments:

Post a Comment

Pages