SINGAPORE NA SIKU MAALUMU YA KUFANYA NGONO - teknomovies
SINGAPORE NA SIKU MAALUMU YA KUFANYA NGONO

SINGAPORE NA SIKU MAALUMU YA KUFANYA NGONO

Share This
         Tumezoea Kuona Kampeni Mbalimbali Zikifanywa Katika Nchi Mbali Ili Kuhamasisha Maendeleo, Michezo Na Hata Uwajibikaji. 

Mfano Hapa Kwetu Tanzania Kampeni Inayoendelea Sasa Ikiongozwa Na Makamu Wa Raisi Bi Samia Suluhu Hassan Akihamasisha Mazoezi Kwa Wafanyakazi .

Lakini Kwa Nchi Ya Singapore Kuna Siku Maalumu Ilianzishwa Ambayo Huazimishwa Kila Ifikapo August 9 Kwa Kila Mwaka Ambapo Huhamasisha Watu Kufanya Ngono.

Siku Hiyo Imepewa Jina La "NATIONAL NIGHT" lengo Kuu Ni Kuboost zaidi Ongezeko La Watu Katika Nchi Hiyo Ambapo Huhamasisha Watu Kua Wazalendo Kwa Kutafuta Mtoto Na Mwenza Wako Kwa Siku Hiyo

 
Kampuni Ya Mentos Kwa Kushirikiana Na Serikali Ya Singapore Waliamua Kutenga Siku Hiyo Maalumu Ili Kuhamasisha Watu Kujitolea Kwa Shughuli Hiyo Maalumu Ili Kuongeza Watu Kwaajili Ya Taifa. 

Lakini Walitoa Tahadhari Kua Kufanyika Kwa Shughuli Hiyo, Ifanyike Vizuri Hususani Kwa Wanandoa Na Wapenzi Na Si Kukutana Tu Na Mtu Na Kuwekeza Mtaji Wako. 

Kuhamasisha Zaidi Kampuni Ya Mentos Iliandaa Video Fupi Hii Chini Kuhamasisha Siku Hiyo. 
             

No comments:

Post a Comment

Pages