RAIS WA NIGERIA AGEUKIA UPANDE WA FILAMU - teknomovies
RAIS WA NIGERIA AGEUKIA UPANDE WA FILAMU

RAIS WA NIGERIA AGEUKIA UPANDE WA FILAMU

Share This
Rais wa Zamani nchini Nigeria Olusegun Obasanjo ameamua kugeukia kwenye sekta ya filamu na kwa mara ya kwanza ameonekana kwenye series ya Vichekesho (Comedy Series) inayoitwa "Delle Issues" huku Scene yake aliyoshirikishwa imeachiwa tarehe 14 October.
"Dele Issues" ni series ya vichekesho iliyoandaliwa na mchekeshaji maarufu Samuel Ajibola. Kwa mujibu wa muigizaji huyo ameamua kuweka episode moja iwe maalum kuonesha mtu muhimu anaependwa kwenye jamii "Spiff" na ndipo akamuweka rais huyo wa Zamani.

Ajibola alisema "Hivi karibuni piteni kwenye youtube channel yangu ili muone kile ninachokisema, hakika mtafurahi kwani ni kitu kizuri"

Nimekuwekea hapa kipande video yenyewe
Usisahau kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali na pia Subscribe Youtube Channel ya DM Online Tv.

Pages