Apps Zilizopakuliwa Mara Nyingi Zaidi Tangu Kutambulishwa Kwake - teknomovies
Apps Zilizopakuliwa Mara Nyingi Zaidi Tangu Kutambulishwa Kwake

Apps Zilizopakuliwa Mara Nyingi Zaidi Tangu Kutambulishwa Kwake

Share This
Mtandao wa Teknolojia wa Tanzania, Teknokona umechapisha habari hii kuhusu Apps ambazo zimeshushwa mara nyingi zaidi tangu kuwekwa kwake.
Katika List Hiyo App ya Facebook imekamata Namba moja ikifuatiwa na App ya Facebook Messenger.

App ya Facebook iliwekwa katika Google&App Stores tarehe 10-07-2008 na mpaka sasa imeweza kushushwa na watu Bilioni 2. App hii inapendwa sana na watu wengi Duniani kutokana na urahisi wake wa kurahisi kuperuzi kupitia mtandao wa Facebook na mpaka sasa inapatikana ikiwa na lugha 27 tofauti.
Facebook
App ya pili kama nilivyosema awali ni App mwenza ya Facebook inayoitwa Facebook Mesenger ambayo tangu iwekwe mwaka 2011 mpaka sasa imeweza kushushwa na watu zaidi ya Bilioni 1. App hii imezidi kujipatia umaarufu mkubwa hasa kutokana na uwezo wake wa kuweza kufanya kazi bila kuhitaji mtumiaji kuingia moja kwa moja katika mtandao wa Facebook.
Facebook Messenger
Kumalizia List nyingine Inayofuata ya Apps Bonyeza Hapa Sasa.

Usisahau kuacha Comment yako na Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali na pia Subscribe Youtube channel ya DM Online Tv.

No comments:

Post a Comment

Pages