EXCLUSIVE: WEISTEIN ASIMAMISHWA RASMI KUTOJIHUSISHA NA UANDAAJI WA MOVIE - teknomovies
EXCLUSIVE: WEISTEIN ASIMAMISHWA RASMI KUTOJIHUSISHA NA UANDAAJI WA MOVIE

EXCLUSIVE: WEISTEIN ASIMAMISHWA RASMI KUTOJIHUSISHA NA UANDAAJI WA MOVIE

Share This
Kampeni ya MeeToo sasa imeanza kuzaa matunda kufuatia Boss wa Hollywood kutoka kampuni ya Guild of America kufungiwa maisha kujihusisha na uandaaji/usimamizi wa filamu kutoka katika kampuni hiyo.


Weistein amepewa adhabu hiyo (death penalty) kufuatia kashfa zinazomuandama za kuwanyanyasa kingono wasanii wa kike wa Hollywood.

 Bodi ya Producers Guild of America imetangaza siku ya Jumatatu kumfungia weistein kutokana na tabia yake kwa kupiga kura ya kumuondoa "In light of Mr. Weinstein's widely reported behavior .. the Producers Guild's National Board has voted unanimously to enact a lifetime ban."

Taarifa za awali zilikuwa zikisema kuwa Weistein angeendelea kusimamia baadhi ya movie kutoka katika kampuni hiyo lakini sasa ni rasmi Weistein ameondolewa kwenye bodi ya directors wa Guild of America na hatajihusisha tena na filamu kutoka katika kampuni hiyo.
 
Tufuatilie kupitia Facebook, Instagram na Twitter @Teknomovies kwa updates mbalimbali lakini pia Subscribe Youtube channel ya DM Online Tv.

Pages