maalumu kichwani mwako. Cha pili inabidi uanze kupiga picha nzuri , za kuvutia na kufurahisha na pia ujue jinsi ya ku zi ‘tag’ kama inavyotakiwa. Cha Tatu inabidi ujue njia mbali mbali ambazo zitakuwezesha kuwa maarufu instagram.
Kuzijua njia hizo anza kusoma ngazi kwa ngazi katika maelezo yafuatayo..
1. Chagua Jina Zuri (User Name) Na Weka Picha Nzuri Ya Utambulisho (Profile Pic)
Jina na picha ya utambulisho ni vitu muhimu unavyotakiwa kuvichagua vizuri pindi tuu pale unapufungua akaunti kwa mara ya kwanza kabisa.
- Chagua picha na jina ambazo vitaelezea kiurahisi kabisa kwamba akaunti yako itakua inajihusisha na nini
- Mfano kama unafungua akaunti kwa lengo la kutangaza masuala yote ya teknolojia hakikisha picha ya utambulisho na jina hata picha unazotuma vinaendana kwa mfano angalia @TEKNOMOVIES katika instagram.
2. Jaza sehemu ya Bio
- Usiache sehemu ya bio haijajazwa. Bio ni muhimu sana na pia ni moja ya vitu mtu anaweza angalia na kuamua kukufuata
- Fanya iwe inaendana na vitu ambavyo watu watakavyo vitegemea katika akaunti yako kwa mfano kama utatuma picha za fasheni basi bio yako ielezee mambo yote hayo
- Ukishakuwa na akaunti yako binafsi sasa inabidi uanze kutafuta marafiki na watu wengine kwa lengo la kuwafuata ukurasa wako wa instagram kisha bofya “Find People to Follow” hapo unaweza kupata marafiki kutoka facebook na hata kwa kutumia namba zako za simu. unaweza pata marafiki kwa njia rahisi sana. Kwa mfano kama una marafiki wengi facebook hili litakusaidia kupata marafiki mamia na mamia kwa mara ya kwanza kabisa bila kutoa jasho.
- Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa mitandao mbali mballi ya kijamii ni vizuri sana. Unganisha akaunti yako na mitandao mingine hili litakusaidia kupata marafiki kiurahisi kabisa. picha instagram itaenda moja kwa moja katika mitando hiyo mingine ya kijamii. Hivyo utapata wafuasi wengi kisha boya ‘settings’ na kisha “Sharing Settings” kisha mitandao ya kijamii mbali mbali itatokea Facebook, Twitter, Foursquare, Tumblr na Flickr chagua mmoja mmoja na anza kuunganisha
5. Anza Ku ‘Like’ Picha Za Watu
- Moja ya njia ambayo itakusaidia kupata followers wengi ni kulike picha za watu wengi (wengi sana kama inawezekana). like picha nyingi hata ikiwezekana zote za marafiki zako. Ukifanya hivyo utaweza pata marafiki wengi hata wale ambao walikua hawakufuati watakufuata (wataku ‘follow’)
- ‘explore’ na angalia picha maarufu sana. like picha hizo kwa sababu akaunti hizo ni maarufu watu ambao wanazifuata wanaweza kukufuata na wewe pia
- Cha pili jaribu kutafuta (search) watu, sehemu na vitu unavyo vutiwa navyo kwa kutumia
- hashtag (#) . kwa mfano kama unataka kuona mlima kilimanjaro andika #Kilimanjaro #Mlimakilimanjaro.
- Pia wengi tafuta (search) kwa kutumia hashtag maarufu kama vile #followme#like4like au #insta like picha ambazo zina hizo hashtag
- Fanya hivi mara nyingi sana na utapata followers wengi. Ndio inaonekana kama kazi ngumu sana lakini kama ukiwa unafanya hivi kila siku lazima wafuasi wako wataongezeka tuu.
- Haimaanishi uanze tu ku ‘like’ picha za watu lakini anza hata kudondosha ‘comment’ katika picha zao.
- Ukitoa comment nzuri watu watakupenda na pia wata ‘kufollow’
- Hutaweza ku ‘comment’ zote lakini jitahidi zile unazoweza. Sio lazima Uandike maneno marefuu maneno kama “ Picha nzuri, Nimeipenda”, “Safi sana” unaweza yaandiika ambayo itamgusa mtu kiundani hiyo itampelekea kwa kiasi kikubwa kuwa mfuasi wako kwa mfano ukiandika “Nimependa nywele zako natamani nizifanye zangu ziwe kama zako”, “Nimependa Jinsi mwanga ulivyoonekana katika hii picha, Kazi nzuri” . Kumbuka ukifurahisha watu unaweza fika popote!
7. Weka Picha Mara kwa Mara Lakini Sio Kila Mara
- Huwezi tegemea watu wakufuate kama huweki (post) picha katika instagram. Ni muhimu sana kuingia instagram mara kwa mara (1-10) kwa siku. Hili litafanya watu wanaokufuata kuwa na wewe karibu na fanya juu chini kila kitu unachotuma kiwe chako au kikuhusu wewe ili mradi umetuma picha tuu. Fanya juu chini ziwe nzuri na pia za kipekee. wakati mmoja (siku ni ndefu) na pia usirudie picha moja mara kwa mara maalum. kumbuka watu hupendelea kuangalia akaunti zao za instagram Asubuhi wakati wakienda shuleni au kazini na usiku wakiwa wanarudi nyumbani (wakiwa katika Jam)
- Mpaka hapa tayari wewe ni mtaalamu na instagram, lakini kumbuka: zoko, penda na za kwake pia. Jibu ‘comment’ ambazo watu wameacha katika picha zako #tagsforlikes #tflers #tweegram #photooftheday #20likes #amazing #followme #follow4follow #elyse #like4like #look #instalike #igers #picoftheday #food #instadaily #instafollow #like #girl #iphoneonly #instagood #bestoftheday #instacool #instago #all_shots #follow #webstagram #colorful #style #swag kupata ‘likes’ nyingi katika picha