MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU,TAZAMA - teknomovies
MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU,TAZAMA

MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU,TAZAMA

Share This
Miss Tanzania mwaka 2006 na pia mwigizaji, Wema Sepetu kwa kuanza Mwaka mpya kupitia akaunti yake ya Instagram aliamua kufuta Picha zake zote na aliporudi tena kupost Picha nyingine amekuja kinamna ya kitofauti kama mwanzoni mwa mwaka jana 2017.

Katika picha hizo ameandika maneno kadhaa ambayo ameonesha kwa mwaka 2018 kwake amefungua kurasa mpya kabisa na yote yaliyotokea kwa mwaka uliopita kwake yameshapita.

"As I look back to 2017, I see alot of lessons learnt, I see mistakes made but along the way taught me quite alot... I see remorse and still experienced Life in a picture I never imagined... .

As I look into 2018, I see my Future... I see a Future that is sooo BRIGHT... I see POSITIVITY... I see a Life that needs neither STRESS nor DEPRESSION... I see myself trying my Level best not to go through all that Pain... I see PEACE... .
May Allah make all this Come true for me because it is all in his hands... I wont stop asking him to do so... Always have and Always will rely on him... The rest dont matter.." ameandika


TAZAMA HAPA CHINI PICHA ZAKE KALI ALIZODONDOSHA KUPITIA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM.








No comments:

Post a Comment

Pages