Exclusive : College Cypher yapokea ugeni wa Mrembo bora vyuo vikuu - teknomovies
Exclusive : College Cypher yapokea ugeni wa Mrembo bora vyuo vikuu

Exclusive : College Cypher yapokea ugeni wa Mrembo bora vyuo vikuu

Share This
Katika muendelezo wa kunasa vipaji vya wakali wa michano kwa Vyuo vikuu. Kipindi cha College Cypher 
kimepokea ugeni wa mlimbwende anaeshikilia tuzo ya mrembo bora kwa vyuo vikuu 2017 Agness William ambae amefanikiwa kupiga story na Presenter Mwela .

Surprise haikuishia hapo kwani show ilivamiwa na mshindi wa wiki iliyopita Weezy Lamar ambae anashikilia ufalme wa michano kwenye College of Humanity na kupiga mastori kibao kuhusu game ya Hiphop.


Nimekuwekea hapa full Video ambayo ni Episode ya 3 ya College Cypher na pia usisahau ku subscribe youtube channel ya College Cypher na kuacha comment yako.




No comments:

Post a Comment

Pages