Jibu La Tunda Baada Ya Video Fupi Akipigana Mabusu Na Mtoto Wa Ngombale Kusambaa - teknomovies
Jibu La Tunda Baada Ya Video Fupi Akipigana Mabusu Na Mtoto Wa Ngombale Kusambaa

Jibu La Tunda Baada Ya Video Fupi Akipigana Mabusu Na Mtoto Wa Ngombale Kusambaa

Share This
Okay mitandaoni kuna mengi sikuhuzi yanaendelea hasa katika mtandao wa Instagram ambao kwa sasa ni kama kila Umbea unaanzia kule.

Ukiachana na Ishu ya Diamond Na Wema, Ishu nyingine iliyozuka Mitandaoni inahusu kusambaa kwa Video ikimuonesha Tunda pamoja na mtoto wa Mwanasiasa maarufu Ngombale Mwilu, anaefahamika kwa jina la Kinje.

Video hiyo inamuonesha Kinje akiwa anapigana mabusu na mrembo huyo hali iliyoonesha kuwa walikuwa Wapenzi.

Mnakumbuka niliwaambiaga kuhusu Kinje na Tunda mpaka Dai akawaka moto akiwa London na Bi Tukinao?? Wengine wakabishaaaaa, Nikiwapeni story msidhani uwongo. .... . . Ila Kinje na wewe umezidiiiiii jamani!!! haya mambo unayafanya toka ukiwa kijana mpaka uzeeni hujachoka tu jomoni??? Kha!!!Yani hata kukiss kwenyewe umeshasahau, unakiss kizee, utasema unanyonya kongoro, ila mbishiiiii 🙆🏽‍♀️Sasa hiki kitoto si unakizaa Kinje jamani??? Una mke mzuriiiiii tena mdogo jomoni. Alafu kutwa kuposti familia yako, ila dah a lot of these marriages are too fake aiseee.... . . Na hizi video zooote naamini 100% Tunda ndo kaziachia ili amlipishie Diamond kwa video yake aliyofanya na Wema juzi. Niliwaambia nini kuhusu Dai na Tunda? Yani Dai akifanya kitu na mwanamke lazma Tunda amlipizie kwa kumtia wivu. Na hapo mjue Dai leo roho itamuuma usiku mzima mpaka atajuta kuachia ile video yake na Wema.Mnadhani ni imetokea tu bahati mbaya juzi video ya Wema na Dai leo ya Tunda na Kinje, hapo ni bibie kamaindi ndo analipizia na yeye 😂. Asikwambie mtu mambo ni hiviiiiiiiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
A post shared by Mange Kimambi (@mangekimambi_) on
Kufuatia hali hiyo Tunda kupitia ukurasa wake wa Instagram aliamua kuandika haya;

"Okay tusikilizane kwa aya yanayoendelea!...Kwanza naomba radhi kwa watu wote kutokana na video zinazosambaa mtandaoni sielewi kwanini ameamua kufanya ivi muhusika mwenyewe lakini naomba radhi kwa watu wangu wote wenye mapenzi mema na mimi na hiyo ni mistake tu ilitokea na ilishapita kitambo naomba radhi kwakila inayemuhusu na pia nashangaa kwanini umeamua iwe hivi na wakati mimi na wewe zilishaisha tena kwa Amani kabisa bila ugomvi wowote!..Sio muda wa kulaumu tena nisameheni wote inayowahusu nisamehe Mke wa muhusika na kila mtu inayomuhusu japo ni vitu vilishapita!...Ombi langu pia kwa Muhusika ukiamua achia mpaka na msg tulizokuaga tunachati kabisa aya mambo yapite kimoja maana labda una maana yako kichwani kufanya ulichofanya!...Narudia tena nisamehewe nimejifunza kutokana na makosa"
Tunda kupitia Akaunti Yake Ya Instagram

No comments:

Post a Comment

Pages