Baada ya kuchoka na maisha yake ya kuzimu aliamua kuja duniani kupata starehe tu, akitumia muda wake mwingi kunywa wine, wasichana na kufanya starehe nyingine nyiingi tu.
Lakini siku moja ndiyo iliyobadilisha maisha yake baada ya moja ya marafiki zake kuuwawa mbele za macho yake.
Tumeanza na Season 01 Bofya HAPA

Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.