"Kuzaliwa Kwenye Familia Maarufu Ni Usumbufu"-Willow Smith - teknomovies
"Kuzaliwa Kwenye Familia Maarufu Ni Usumbufu"-Willow Smith

"Kuzaliwa Kwenye Familia Maarufu Ni Usumbufu"-Willow Smith

Share This
Ukitazama kwa kawaida unaweza kuhisi kuzaliwa kwenye familia maarufu ni ufahari lakini hali ipo tofauti kwa mtoto Willow Smith ambae wazazi wake ni masupastaa kwenye upande wa movie Will na Jada Smith.

Kupitia kwenye Interview katika kipindi cha Girls Gaze Willow amezungumzia kuhusu kukua kwake katika familia maarufu ambapo tangu anazaliwa alikuwa akizungumziwa kwenye vyombo vya habari.

Willow amesema "Unapokuwa kwenye familia maarufu halafu ukajaribu kuwa tofauti unafahamu vile namna jamii itakavyochukulia sasa inabidi uwe kama ulivyoikuta familia yako kitu ambacho ni kigumu"
“Growing up and trying to figure out your life … while people feel like they have some sort of entitlement to know what’s going on, is absolutely, excruciatingly terrible — and the only way to get over it, is to go into it,” Smith said.
Katika umri mdogo Willow ameweza kujitengenezea jina lake mwenyewe nje ya umaarufu wa wazazi wake kupitia muziki.
Wakati akiwa na umri wa miaka 10 Willow alikachia wimbo wa "Whip My Hair" wimbo amabao ulikuwa gumzo hasa kwenye shule za watoto.

PITA HAPA>>PACQUIAO KURUDI ULINGONI NA MCGREGOR

Kuanzia hapo Willow amekuwa akijitengenezea njia yake mwenyewe tofauti na wazazi wake ambao wamejizolea umaarufu kwenye kiwanda cha filamu.

Usisahau Kudownload Teknomovies App ili uwe wa kwanza kupata mastori makali.

No comments:

Post a Comment

Pages