EXCLUSIVE : JEFF BEZOS SASA UTAJIRI WAKE UNASOMA $ 100 BILLION - teknomovies
EXCLUSIVE : JEFF BEZOS SASA UTAJIRI WAKE UNASOMA $ 100 BILLION

EXCLUSIVE : JEFF BEZOS SASA UTAJIRI WAKE UNASOMA $ 100 BILLION

Share This
Ule usemi wa kulala masikini na kuamka Tajiri umetimia kwa mmiliki wa Amazon Jeff Bezos ambapo siku ya Ijumaa utajiri wake umepanda na kufikia $ 100 Billioni.
Huenda X- Mass ya Bezos ikawa tamu sana kama soko la Hisa halitashuka kwani ameingiza $ 2.4 Billion kwa siku moja tu.

Hii ni rekodi ya kipekee ambapo mara ya mwisho iliwekwa na Bill Gates mwaka 1999 alipoingiza kiasi kama hicho cha fedha kwa muda mfupi.

Kutokana na utajiri wake kukua Bezos atapanda hadi nafasi ya pili akimshusha Warren Buffet

No comments:

Post a Comment

Pages