Justice League,Tupo Nayo Pia Hapa #Download - teknomovies
Justice League,Tupo Nayo Pia Hapa #Download

Justice League,Tupo Nayo Pia Hapa #Download

Share This
Batman,Superman,WonderWoman,The Flash,Aquaman pamoja na Cyborg kwa pamoja wanaungana na kutengeneza Timu ya pamoja mfanano kama kwa ndugu zao Marvel ambao wao wana The Avengers.
Ubora wa hii Filamu japo ni kawaida pengine ni kwa namna ambavyo WonderWoman na pia The Flash walivyoweza kutengeneza Timu bora kabisa kwa maana ya muunganiko mzuri.

Tangu iachiwe Novemba 16 imeweza kuingiza dola milioni $481 kutoka bajeti yake ya Dola milioni $300.

PITA PIA HAPA>>PAKUA KINGSMAN:GOLDEN CYCLE

Ndani kuna Comedies za hapa na pale pengine kuzidi hata ndugu zao Marvel,Na hii inafanya watu wengi kuipenda zaidi lakini kiukweli mimi binafsi sijapendezwa na nafasi ya Jambazi mkuu ambae alikuwa dhaifu sana pengine kuliko hata Mastaa wenyewe.

Bofya Hapo chini Download kujipatia mchongo.



No comments:

Post a Comment

Pages