Roma:Waandishi acheni kuponda nyimbo zangu. - teknomovies
Roma:Waandishi acheni kuponda nyimbo zangu.

Roma:Waandishi acheni kuponda nyimbo zangu.

Share This
MKALI anaetamba na wimbo wa Zimbabwe Roma Mkatoliki katika moja ya mahojiano na Mwanaspoti alitoa povu lake zito kwa vyombo vya habari hususani watangazaji ambao wanaponda kazi zake kwa kusema kwake ni kama kirusi.

“Mi sipendi kabisa mtangazaji akisema nyimbo yangu mbaya,sababu watangazaji na waandishi wa habari nyie ni kama sauti ya watu wengi hivyo kuponda kwako unaweza kumwaminisha hata ambae hajausikia,”

“Bora unambie mimi naweza nikafanya kitu kizuri kwa kazi nyingine lakini ukisema mbele ya watu wengi huwa namaindi sana na sipendi kwa kweli,” aliongeza.

Baada ya ishu yake ya kutekwa kutokea Roma ameongeza kuwa kwa sasa yupo makini sana kuanzia simu na hapokei simu kwa namba ngeni kama ilivyokuwa mwanzo yote sababu ya kujiweka vizuri na usalama wake.


“Kwa sasa sipokei wala sijibu meseji nisiyoijua sababu ya usalama zaidi,na nakiri wazi kabisa baada ya tukio 

No comments:

Post a Comment

Pages