Kuna ishu inaendelea kumuhusu Kim Kardashian, ambae ukisikia kapiga picha za uchi unaweza sema ni kawaida yake tu.
![]() |
| Picha Iliyo lalamikiwa sana na watu |
![]() |
| Mojawapo ya Picha Ya Rihanna iliyoondolewa Instagram |
Lakini kwa Kim hapa imekuwa tofauti, Licha ya wadau wengi kulalamika na kwa asilimia kubwa naimani kuna watu watakuwa wamereport lakini picha mpaka sasa inapeta tu.
![]() |
| Baadhi ya Komenti katika Picha Hiyo |
Nini tofauti yao?? Baadhi wanasema ni Ubaguzi ambao kamwe hauwezi kuisha.
Je kwako mdau unaonaje hili suala?? Tuachie maoni yako hapo chini.



No comments:
Post a Comment