Chris Brown asusia Interview baada ya mtangazaji kumtolea lugha chafu - teknomovies
Chris Brown asusia Interview baada ya mtangazaji kumtolea lugha chafu

Chris Brown asusia Interview baada ya mtangazaji kumtolea lugha chafu

Share This
Mkali wa R & B kutoka nchini Marekani Chris Brown amefunguka sababu zilizopelekea kutohudhuria Interview kwenye kipindi cha Breakfast Club 105.1 FM. Kupitia mtandao wa Instagram Breez ameomba radhi mashabiki wake waliokuwa wakisubiri kumsikiliza kupitia show hiyo inayoongozwa na Dj Envy, Angela Yee na Charlamagne.

Kwa mujibu wa Brown ni kwamba watangazaji hao walikuwa wakimtolea maneno ya kuudhi kwani siku moja kabla Interview alirekodi kipande cha sauti studio za radio hiyo na watangazaji kusema kuwa sauti hiyo ni kama ya mtu aliyebwia unga.

SOMA PIA:AY:MASHABIKI WANATUCHEZEA SANA

Pamoja na kuomba radhi mashabiki, Breez amesema hizo ni hujuma za watangazaji wenyewe na si suala la kiofisi.


Usisahau Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali na pia Subscribe Youtube channel ya DM Online Tv.

Pages