RATIBA YA MOVIE SIKU YA JUMATANO UKUMBI WA ROYAL CINEMA - teknomovies
RATIBA YA MOVIE SIKU YA JUMATANO UKUMBI WA ROYAL CINEMA

RATIBA YA MOVIE SIKU YA JUMATANO UKUMBI WA ROYAL CINEMA

Share This
Kwa wewe mpenzi wa movie ukiwa Dodoma basi ni sehemu moja tu itakayokufanya ufurahi. Ni katika ukumbi wa Royal Cinema uliopo Area D.

Leo siku ya Jamatano saa Moja jioni (7:00) ni movie ya "The Jungle" ambayo imetoka mwaka huu 2017 na ni kisa cha kweli ambacho kiliwahi mtokea Yossi Ghinsberg huko Bolivia na kuamua kuandaa movie hiyo katika msitu wa Amazon. Ni dakika 115 zitakazokufanya uenjoy movie hii ukiwa Royal Cinema.

Baadae saa nne Usiku (10:00) ni movie ya "The Lake House" ni moja ya movie nzuri pia ambayo unapaswa utazame.

Kiingilio ni Tsh 5,000 na vinywaji kama Ice Cream, Soda, Energy Drinks, Pop Corn na Snack vyote utavipata kwa Bei Nafuu. 

Movie zote ni High Definition (HD) ukitazama kwenye Screen kubwa.

Pages