Wakali Wote Kutoka China Ndani Ya Filamu Moja,Tazama Sasa - teknomovies
Wakali Wote Kutoka China Ndani Ya Filamu Moja,Tazama Sasa

Wakali Wote Kutoka China Ndani Ya Filamu Moja,Tazama Sasa

Share This
Ina Dakika 20 Tu, Iliachiwa Rasmi Tarehe 11 mwezi Novemba ikiwa na Lengo kuu hasa la Kutangaza zaidi sanaa ya mapigano ya China ambayo kwa sasa dizaini flani madogo wanaikimbia.
Hii pia inakuwa Filamu ya Kwanza kumuona mkurugenzi mkuu wa Alibaba Mr Jack Ma katika upande wa Filamu na Ngumi alizopiga hizo humu utashangaa mwenyewe.

Ukiachana na Jack Ma pia yumo, Jet Li, Donnie Yen,Tony Jaa,Wu Jing, Jack Heung na wengineo wengi tuu.

Nimekuwekeea hapa utazame Full kila kitu, Bonyeza Play sasa ili uweze Kuenjoy.
           

1 comment:

  1. Hii ya wakali kutoka china kwanini hujaiweka tuishushe?

    ReplyDelete

Pages