Ruby: Abdu Kiba Alikuwa Ananikumbatia Too Much - teknomovies
Ruby: Abdu Kiba Alikuwa Ananikumbatia Too Much

Ruby: Abdu Kiba Alikuwa Ananikumbatia Too Much

Share This
MWANAMUZIKI  Ruby baada ya kudai mara ya kwanza  kuwahi kutoka na Soudy Brown safari hii kaja na nyingine hii akijibu tuhuma ishu ya Upande wa Abdu Kiba na Ali Kiba ambao walidai yeye aliwazingua kipindi cha video ya Ayaya.

Ruby anasema kipindi cha kufanya video hiyo, Abdu Kiba alikuwa anamkumbatia mpaka inapitiliza sana.

“Kwanza Ali Kiba kawahi kuniita mimi Mbwa,sasa drama waliyonizungushia na hayo mambo ya Abdu Kiba kwanza waliniweka karibu usiku mzima na kunishika shika ilikua Too Much kipindi video inafanyika,”

“Ishu nilimwambia hadi kipindi hicho Boss Ruge nae hakupenda hicho kitu na ndio maana nilipost namimi kufunguka ukweli wa kila jambo mpaka watu walipoanza kudai kuwa nina Mimba ya Ali Kiba na mambo mengi sana sana” alimaliza.



No comments:

Post a Comment

Pages