Tecno Sparks,Toleo Jipya Bora Kwa Watu Wengi#Fahamu - teknomovies
Tecno Sparks,Toleo Jipya Bora Kwa Watu Wengi#Fahamu

Tecno Sparks,Toleo Jipya Bora Kwa Watu Wengi#Fahamu

Share This
Tecno wamekuja na matoleo mapya pia ya Spark ambapo wameachia Tecno Spark K7 na pia Tecno Spark Plus K9 ambazo kimuonekano wa haraka unaweza kufikiri ni Iphone sababu ya muonekano wake kwa asilimia kubwa kufanana na simu za Iphone 7.
 Simu janja hizo,Naweza kusema kuwa Tecno wanazidi kujitanua katika nyanja mbalimbali huku wakizidi kutibu mahitaji ya watu wengi katika ubora wa simu.

Ni simu ambazo kimuonekano ni bora sababu ni nyembamba na ukubwa ni wastani kiasi kwamba hata wale ambao hawapendi simu kubwa kwa hii itawafaa zaidi.

SOMA PIA:TECNO PHANTOM 8 MASHINE UPANDE WA PICHA

Ebu cheki Baadhi ya Sifa zake Simu Hizi lakini hapa tunaiangalia Tecno Spark k7 ambayo ndiyo imeanza kupatikana kwa wingi katika maeneo mbalimbali.

SIFA ZAKE.

  • OS: HiOS 2.0 Based on Android 7.0 (Nougat) Toleo bora hapa kabisa la Android ambalo litakufanya uweze kuperuzi simu yako kwa kufurahia matoleo bora zaidi.
  • SIM Type: Dual SIM (Micro)..Ina Sehemu ya kuweka Laini Mbili.
  • 4G LTE: NO-Hapa haina uwezo wa kusapoti 4G bali inaweza kusapoti 3G pamoja na 2G pekee
  • Screen Size : 5.5 Inches HD IPS Touchscreen-Kioo chake ni kipana hivyo kuweza kukufanya kuweza kutazama vitu mbalimbali kwa ubora huku ikikupa picha angavu zaidi.
  • Screen Resolution: 720 x 1280 pixels
  • Processor Type: 1.3 GHz Octa-core CPU
  • RAM: 1GB
  • Internal Storage: 16 GB.
  • External Storage: microSD, up to 32 GB-
  • Back / Rear Camera: 13MP camera & single LED Flash
  • Front Camera: 5MP with flash
  • Back-placed Fingerprint scanner
  • Battery: 3000 mAh Non-Removable
Ubora zaidi na kitu tofauti katika Simu hizi ni ina uwezo wa kukuruhusu kuweka FingerPrint kwaajili ya usalama zaidi.

Bei mpaka sasa katika maduka mengi unaweza kuipata kwa kuanzia Laki 2 na nusu, Na hiyo inazidi kuonesha namna Tecno wanavyojali katika Gharama kwa wateja wake wengi.

Na kingine cha zaidi ni Upande wa chaji ambapo kama utachaji Full utaweza kuitumia Simu yako hadi masaa 12 mfululizo.

No comments:

Post a Comment

Pages