Mountain Between Us, Ndani Idris Elba na Kate Winslet (Rose) - teknomovies
Mountain Between Us, Ndani Idris Elba na Kate Winslet (Rose)

Mountain Between Us, Ndani Idris Elba na Kate Winslet (Rose)

Share This
Filamu hii imewakutanisha kwa pamoja mkali Idris Elba pamoja na mwanadada Kate Winslet.
Mmoja akiwa ni mtaalamu wa mambo ya Upasuaji na mwingine akiwa ni Mwandishi wa habari kwa pamoja wananusurika katika ajali ya ndege pamoja na mbwa. Ishu inakuja sehemu ambayo Ndege iliangukia ni sehemu yenye hali mbaya ya hewa hivyo inabaki hali kwao ya kupamba ili waweze kuokoa maisha yao, Hiyo tunaita Pambana na hali yako..Lakini katika kutaka kunusuru hali zao ndipo utamu unazidi zaidi wa Filamu unakuwa hapo.

Iliachiwa Oktoba 6 mwaka 2017 na  sasa Hd imeshatoka hivyo kazi imebaki kwako kupambana na hali yako.

Bonyeza HAPA sasa kuweza kushusha mzigo wote na usisahau kutufuata katika mitandao ya kijamii @teknomovies pamoja na kupakua App yetu katika Playstore kwa mastori mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Pages