Twende Na Animation Hii Hapa Sasa, The Son Of BigFoot Upasuke Mbavu - teknomovies
Twende Na Animation Hii Hapa Sasa, The Son Of BigFoot Upasuke Mbavu

Twende Na Animation Hii Hapa Sasa, The Son Of BigFoot Upasuke Mbavu

Share This
Ni kazi kumsimulia mtu Animation,  Haha nafikiri mtu akitazama mwenyewe ndipo anaweza akaifurahia kwa namna ambayo anajua mwenyewe.
Animation nyingi, hata iweje lakini lazima utakutana na Comedy kwa kiasi chake, ndio maana zinapendwa pengine kwa sana na watoto wa kike sababu wanapendwa kuchekeshwa.

Hii imeachiwa Novemba 03 Tu hapo hivyo bado mpya mpya unaweza kuenjoy na kumtamanisha mshikaji au sio.

Bonyeza pia HAPA kushusha  Mzigo alafu Mstue na mwana.

No comments:

Post a Comment

Pages