SASA RUKSA WANANCHI SAUDI ARABIA KUTAZAMA FILAMU KATIKA MAJUMBA YA SINEMA - teknomovies
SASA RUKSA WANANCHI SAUDI ARABIA KUTAZAMA FILAMU KATIKA MAJUMBA YA SINEMA

SASA RUKSA WANANCHI SAUDI ARABIA KUTAZAMA FILAMU KATIKA MAJUMBA YA SINEMA

Share This
Nchi nyingi za kiarabu zimekuwa na sheria nyingi ambazo zimekuwa kwa namna moja ama nyingine zikionekana kukandamiza Wananchi, Ukiachana na Sheria ya Wanawake kutokuruhusiwa kuendesha magari bali pia Ishu ya kutokutazama Filamu katika Majumba ya Sinema hasa za magharibi imekuwa ikitekelezwa.
Nchi ya Saudi Arabia, Baada ya mwezi Septemba kuruhusu Wanawake kuendesha magari Sasa imeruhusu pia watu kutazama Filamu katika Majumba ya Sinema.
Ruhusa hiyo imetolewa na Mwana wa Mfalme wa Taifa hilo, Prince Mohammed Bin Salman akishirikiana na Baba yake,King Salman na imeelezwa kuwa itaanza kutekelezwa Mwakani.

SOMA  PIA>>CAMILA CABELLO MWANAMUZIKI ASIEJULIKANA

Lakini Filamu hizo itabidi ziwe na maudhui mazuri na zisiwe za kuonesha matendo ya ngono.

Tuachie maoni yako Juu ya hili, Unalionaje kwa upande wako?

No comments:

Post a Comment

Pages