Filamu Ya Saw Ilishutiwa Kwa Siku 18 Tu, Tena Bila Kufanya Hata Mazoezi Kidogo,Mafanikio Yake Sasa - teknomovies
Filamu Ya Saw Ilishutiwa Kwa Siku 18 Tu, Tena Bila Kufanya Hata Mazoezi Kidogo,Mafanikio Yake Sasa

Filamu Ya Saw Ilishutiwa Kwa Siku 18 Tu, Tena Bila Kufanya Hata Mazoezi Kidogo,Mafanikio Yake Sasa

Share This
James Wan Na Leigh Whannel ni Marafiki Wakubwa Ambao Wote Kwa Pamoja Walikuwa Wakiishi Australia.
Wote Kazi Zao Ni Kutengeneza Filamu Hivyo Wanaweza Kufanya Kama Directors, Producers,Screen Writers, Script Writers Etc.
Mwaka 2001 Kwa Pamoja Walitulia Na Kuandika Filamu Ya SAW na Jina Lilikuwa Hilo Hilo Kama Walivyotengeneza Wao...!! Lakini kitu Kibaya Kumbuka Wenzetu Ni Kazi Kujitengenezea Filamu Sababu Ni Gharama Kubwa Hivyo Ukiandika Filamu Yako Unaenda Kuwaonesha Kampuni mbalimbali, Kama vile unaomba kazi.. Wakikubali Tu Basi Ndio wanao Weka Pesa Yao wewe unalipwa kwa Kazi yako Hiyo Ya Kuandika Au mtajua Mtavyokubaliana.
Leigh Whannel Pamoja na James Wan
Kitu Kibaya Makampuni Yalishindwa Kuwaelewa, Hivyo Waliamua Kwenda Los Angeles, Marekani Ili Kuangalia Kama Makampuni Kule Yanaweza Kubali Kuwadhamini.. Sasa Ili Kuwashawishi Waliamua Kuandaa Demo Fupi Ambayo Ilikuwa Kwanza Ipo Out Of The Script Kwaajili Ya Kwenda Kuwaonesha Kampuni Hizo.
Moja Ya Picha Katika SAW sehemu ya Kwanza
Walishuti Kimtindo Scene Ile Kama Umetazama SAw Ya Kwanza Kabisa, Kila Kitu Kiliishia Kwenye Chumba Kimoja Na Ili Ku Save Gharama Leigh Whannel mwenyewe Aliamua Kushiriki.

Huwezi Amini, Kazi Hiyo Ikapendwa Hali Iliyosababisha Kampuni Moja Ikubali Kuisimamia Filamu Hiyo Lakini Kwa Bajeti Ndogo Sana Ya $1.5 Millioni Dolla.
Baada Ya Kushutiwa, Kampuni Ya LionsGate Ikanunua Haki Miliki, Na Kuisambaza...!!
Baada Ya Kuachiwa Filamu Iliuza Zaidi Ya $100 Milioni Dola.. Hali iliyosababisha Zitokee SAW 2..nakuendelea..!

Filamu Ya Kwanza Yoote iliishia Katika chumba kimoja Na Unaambiwa Walitumia siku 18 Kushuti Filamu nzima.

Liamini Wazo Lako Linaweza Kuwa Sahihi Zaidi...!!

No comments:

Post a Comment

Pages