Wakali wa Michano Vyuoni kukutanishwa na College Cypher - teknomovies
Wakali wa Michano Vyuoni kukutanishwa na College Cypher

Wakali wa Michano Vyuoni kukutanishwa na College Cypher

Share This
Kutokea mji mkuu wa Tanzania, Dodoma taarifa rasmi ikufike wewe mpenzi wa Hiphop ambae upo chuoni kwa sasa kuwa muda wako wa kuonyesha kipaji ni sasa kupitia project mpya kabisa inayokwenda kwa jina la College Cypher ambayo inakutanisha wakali wote wa hip hop sehemu moja.
Kwa mujibu wa mratibu wa project hiyo Mwela amesema wanaanzia vyuo vya Dodoma lakini lengo ni kufika vyuo vyote vya Tanzania.

Show hii inasimamiwa na kampuni ya utengenezaji wa video ya Seniorpixel Tz

Ingia Youtube subscribe channel ya College Cypher ili uwe wa kwanza kupata yanayojiri kwenye project hiyo

No comments:

Post a Comment

Pages