Mambo Muhimu Ya Kufahamu Kuhusu Ujio Wa Creed 2 - teknomovies
Mambo Muhimu Ya Kufahamu Kuhusu Ujio Wa Creed 2

Mambo Muhimu Ya Kufahamu Kuhusu Ujio Wa Creed 2

Share This
Creed 2 imetangazwa kuwa itaanza kushutiwa mwezi Machi mwaka huu huku baadhi ya waigizaji ambao utawaona wameshatangazwa.
Ambao utawaona tena ni Rambo, Dolph atarudi tena,Michael B Jordan kama kawaida nae atarudi lakini sura mpya ambayo inategemewa kuonekana tena ni Florian Monteau ambae atacheza kama mtoto wa Dolph "Ivan Drago" kama alivyotumia katika Rock IV.

Hivyo kwa namna hiyo, Creed 2 itakuwa ni kulipiza kisasi, ikumbukwe Baba yake na Michael B Jordan aliuawawa na Dolph na Rambo alikuja kulipa kisasi kwa kumpa kichapo kikali sana.

Sasa kwa maana hiyo kuwepo kwa vijana hao ambao wote wanafundishwa na wataalamu ambao wamewahi kutana na kuzichapa kitaongeza zaidi utamu.

Creed 2 inatazamiwa kutoka Nov 21 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Pages