F.B.I WAMCHUNGUZA JAJI ALIYEMPELEKA JELA MEEK MILL - teknomovies
F.B.I WAMCHUNGUZA JAJI ALIYEMPELEKA JELA MEEK MILL

F.B.I WAMCHUNGUZA JAJI ALIYEMPELEKA JELA MEEK MILL

Share This
Vyombo vya usalama nchini Marekani vimeanza kumchunguza jaji aliyetoa adhabu ya Meek Mill kupelekwa Jela kufuatia malalamiko kadhaa yaliyotolewa na mawakili wa Mill.
Mawakili hao wametoa ushahidi kuwa Jaji Genece Brinkley amevunja masharti ya kazi yake kutokana na kudai kufanyiwa mambo kadhaa kutoka kwa Meek Mill ili ampunguzie adhabu.

Wakili wa Meek amesem
Jaji huyu kwanza alitaka kutajwa kwenye wimbo wa meek mill ambao aliufanyia cover ya wimbo wa Boyz II Men na kutaka rapper huyu kuhama Rock Nation ya Jay-Z na kusimamiwa na Charles ambae ni swahiba wa jaji Genece
F.B.I wamesema kinachochelewesha jaji huyu kukamatwa ni kwamba Meek Mill hajatoa rekodi ya sauti ambayo imenasa sauti ya jaji huyo akiomba kufanyiwa mambo hayo hivyo wanachunguza kwa makini kabla ya kumkamata.

Unataka mastori kama haya yasikupite? Ungana na Familia ya Teknomovies kupitia Facebook,Twitter na Instagram @Teknomovies. 

No comments:

Post a Comment

Pages