FAHAMU NAMNA YA KUPAKA MAKE UP YA KUTOKEA USIKU - teknomovies
FAHAMU NAMNA YA KUPAKA MAKE UP YA KUTOKEA USIKU

FAHAMU NAMNA YA KUPAKA MAKE UP YA KUTOKEA USIKU

Share This
Kila mtu ni mzuri, Kwa watoto wa kike tukitumia neno la Urembo nafikiri linaleta taswira nzuri zaidi. Lakini fahamu kuwa Mrembo zaidi inatokana na jinsi ambavyo utakuwa vizuri katika kupangilia mambo yako hasa ya kuutunza mwili wako vyema.
Leo tena tupo na Mrembo wetu, Apple Marylin ambae kaamua kushea ujuzi wake katika masuala ya Urembo. Safari hii anakupa ujuzi namna ya Kupaka Make Up ya usiku.

SOMA PIA>>FAHAMU MATUMIZI SAHIHI YA VIFAA VYA UREMBO

Anakwambia kuwa sio kila Make Up unaweza kupaka  muda wowote, Kila make Up huwa inakuwa na muda wake ambapo itaweza kukufanya kuwa mrembo haswa.

Kuhusu vifaa na kila kitu namna ya kufuata ili kujipaka hiyo Make Up ya Usiku bonyeza hapo Chini Play katika Video pia usisahau kutuachia maoni yako au maswali yako ili aweze kuyajibu na kuongeza zaidi katika Ujio wa Ujuzi mwingine.

No comments:

Post a Comment

Pages