Kuna Dalili 2018 tukashuhudia pambano kati ya McGregor na Pacquiao - teknomovies
Kuna Dalili 2018 tukashuhudia pambano kati ya McGregor na Pacquiao

Kuna Dalili 2018 tukashuhudia pambano kati ya McGregor na Pacquiao

Share This
Idadi kubwa ya mashabiki wa ndondi wanaamini kwamba Connor McGregor na Manny Pacquiao hawawezi kupanda ulingoni pamoja na kuzichapa.
 Lakini tayari kuna dalili za wawili hao kupanda ulingoni mapema mwaka 2018 kufuatia matamshi yao ya hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii.

SOMA PIA :LIST YA MASTAA WANAOMALIZA MWAKA 2017 WAKIWA JELA

Kufuatia umaarufu wa hivi karibuni alioupata McGregor baada ya pambano lake na Floyd Mayweather ameamua kutoa neno.

McGregory amesema " Nina chaguzi nyingi kwenye mapigo yangu ya Mixed and Martial Arts (MMA), ni ukweli kwamba aina hii inajitambulisha yenyewe kwenye mchezo wa ngumi. Kwa sasa niko huru ila jina langu lipo ulingoni"
“I have many options in MMA. I’m sure there’s options that will present themselves in the boxing game. Right now, I’m a free agent. My name is on the ring.
Hii imekuja baada ya Pacquiao kupost picha ya McGregor kwenye mtandao wa Instagram katika sikukuu ya Thanks Giving ikiwa na maneno ambayo yanaonesha wazi kuwa anahitaji pambano. Katika picha hiyo Manny ameandika.
Happy Thanksgiving! Stay fit my friend. #realboxingmatch #2018@thenotoriousmma
Tusubirie tuone wakali hawa wakiingia kwenye ulingo kuonyeshana ufundi.








No comments:

Post a Comment

Pages