Mjane wa B.I.G Notorious apinga kuuzwa mlango wa gari ambayo mumewe aliuawa - teknomovies
Mjane wa B.I.G Notorious apinga kuuzwa mlango wa gari ambayo mumewe aliuawa

Mjane wa B.I.G Notorious apinga kuuzwa mlango wa gari ambayo mumewe aliuawa

Share This
Faith Evans ambae alikuwa mke wa Rapper B.I.G Notorious amepinga kupigwa mnada kwa mlango wa gari ambao ulifyatuliwa risasi kipindi mumewe anauawa.

Stori kutoka mtandao wa nytimes.com zinasema kwamba mlango huo umepangwa kupigwa mnada ili kupata umaarufu na pesa lakini mjane wa Notorious amekataa.
Faith Evans amesema ni wakati wa ishara mbaya kwenye maisha ikiwa tunaweza kuuza kwenye mnada picha za nusu utupu za Tupac sasa mbaya zaidi ni kuuza mlango wenye matobo ya risasi yaliyotokana na risasi zilizofyatuliwa na mtu amabe amemuua mumewe mwaka 1997.
 Notorious na Faith walifunga ndoa August 4, 1994, wiki chache baada ya kukutana kwenye Photoshoot ya Bad BoyRecords

Sasa unaweza Kudownload Application ya Teknomovies kwa wewe mtumiaji wa Android, cha kufanya nenda Google Playstore udownload ili uwe wa kwanza kupata mastori makali.

No comments:

Post a Comment

Pages