Sasa ni rasmi kuwa Msimu wa 6 wa Prison Break unakuja hasa baada ya Rais wa mtandao wa Fox ambao ndio wenye dhamana halisi ya kuonesha Prison Break, Bwana Michael Thorn kueleza kuwa wapo katika maandalizi ya mwanzo ya kuandaa tena mchongo huo.
Thorn alithibitisha juu ya ujio wa Prison Break S06 katika Mkutano ambao uliwkutanisha wadau mbalimbali wa masuala ya Filamu na Tamthiliya ilikuwa siku ya Alhamisi.
SOMA PIA:FAHAMU JUU YA UJIO WA GAME OF THRONES
"Tupo tunaandaa ujio mpya wa Prison Break lakini bado tupo katika hatua za awali kabisa," alisema
Pia aliongeza kuwa Ujio mpya huo utakuwa wa kitofauti sana kuliko Sehemu nyingine zilizopita huku akiongeza kuwa bado wapo kwenye mazungumzo na Dominic pamoja na Wentworth Miller ambao ndio waliongoza michongo mingine iliyopita.
Tarehe ya lini mchongo huu utakuja rasmi, Endelea kuwa nasi Ili kupata taarifa ya kila kitu hapa hapa.

Tags
# HABARI
# Tv Shows
Share This
About Swahili Muzik
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Tarehe Rasmi Ya Kurudi Kwa Into The Badlands Yawekwa Wazi Sasa #Fahamu
Swahili MuzikJan 31, 2018Michael Wolff kuja na Tv series ya "FIRE AND FURY"
AnonymousJan 17, 2018TAARIFA RASMI,PRISON BREAK MSIMU WA SITA KURUDI TENA
Swahili MuzikJan 06, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!