THE MARTIAN, MOJAWAPO YA FILAMU BORA MWAKA 2015 - teknomovies
THE MARTIAN, MOJAWAPO YA FILAMU BORA MWAKA 2015

THE MARTIAN, MOJAWAPO YA FILAMU BORA MWAKA 2015

Share This
Naweza kukiri kuwa kwa mwaka 2015, Hii Ni Mojawapo ya filamu Bora. Matt Damon ni mojawapo ya Waigizaji ambao binafsi nawakubali sana na ameendeleza kasi yake sawa katika Filamu mbalimbali anazofanya.

Iliachiwa rasmi Oktoba 2  mwaka 2015. Kutoka bajeti ya Dola Milioni $108 iliweza kuuza Dola Milioni $630 na iliweza kuchaguliwa katika Vipengele kadhaa huku Matt Damon akishinda katika Tuzo za Golden Globe kama Mwigizaji Bora.

Filamu hii ina Dakika 144 ambazo ni sawa na Saa mbili, Lakini utapotazama hakika lazima Utaenda nayo sawa mpaka mwisho bila hata kuchoka.

Stori kwa Ufupi.

Mark Watney, Akiwa na Wana Anga wenzake katika sayari ya Mars, Ghafla kinatokea kimbunga mabacho kinasababisha wenzake kumuacha Mark hasa baada ya kurushwa na kimbunga hicho na kufikiri kuwa atakuwa kafa.

SOMA PIA: RATIBA YA UJIO WA FILAMU KWA MWAKA 2018

Lakini Mark hakufa, Hivyo alibaki huko ishu ikawa sasa ni kupambana na hali yake ili asiweze kufariki, kwa kujihakikishia msosi pamoja na Oksijeni huku akifanya njia mbalimbali ili kuweza kupata mawasiliano kutoka kitengo cha NASA.

Pakua huu mchongo kwa kubonyeza HAPA sasa.

No comments:

Post a Comment

Pages