Davido Aweka Rekodi Nyingine Ya Hatari Sana - teknomovies
Davido Aweka Rekodi Nyingine Ya Hatari Sana

Davido Aweka Rekodi Nyingine Ya Hatari Sana

Share This
Historia nyingine inawekwa na msanii kutoka Nigeria David Adedeji Adekele  a.k.a Davido. Davido anakuwa msanii wa kwanza kutoka Africa kushiriki tuzo za Music Of Black Origin (MOBO Award)
Mbali na kushiriki katika Tuzo hizo lakini pia atapata chance ya kuperform kwenye jukwaa la MOBO Award.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Davido ameandika.

“Whaaattt!!!!!!?? ??? can this year get any better !?! Catch me performing live at the @moboawards !!! SEE GOD OHH!! ?”


Wasanii wengine watao perform kwenye tuzo hizo ni pamoja na Janet Jackson, Destiny's Child, Dionne Warwick, Justin Timberlake, Kanye West, Tiner Turner, Rosie Gaines, Dizzee Rascal, Jay-z,LL Cool J, Army Winehouse, Coolio, Usher, John Legend, Jason Derulo na Jessie J.

Tufuate Instagram na Twitter @Teknomovie kwa updates mbalimbali 

No comments:

Post a Comment

Pages