Lebron James kapata shavu kwenye filamu hii. - teknomovies
Lebron James kapata shavu kwenye filamu hii.

Lebron James kapata shavu kwenye filamu hii.

Share This
Staa wa Cleveland Cavaliers kutoka kwenye ligi ya kikapu ya NBA Lebron James amepata shavu la sauti yake kutumika kwenye filamu mpya ya Animation "Smallfoot" na sauti hiyo itakuwa ya mhusika aliyepewa jina la Gwangi kwenye filamu.
Mastaa wengine waliokula shavu kwenye filamu hiyo ni pamoja na Channing Tatum, James Corden, Gina Rodriguez, Zindaya na Danny Devito. Filamu ya Smallfoot inatarajiwa kutoka mwishoni mwaka 2018.




Tufuate instagram na Twitter @Teknomovies kwa updates mbalimbali lakini pia Usisahau kudownload Teknomovies App ili uwe wa kwanza kupata mastori makali.

No comments:

Post a Comment

Pages